2. Watanzania amkeni ''La mgambo likilia kuna jambo"
Tuko miaka 56 ya Uhuru tunaendelea kununua ndege zilizotumika, huko wenzetu wanaendelea wa kurusha ndege bila Rubani. Tutaota ndoto zote za usiku na mchana lakini ndoto ya kufikia walikofikia wenzetu hatutaiota kamwe kwa mfumo huu wa ukandamizaji, utekaji, unyanyasaji, unafiki, kejeli usiojali masilahi ya wananchi na ukijaribu kuhoji unakuwa mchochezi na utawindwa usiku na mchana tena kwa gharama yoyote ile ili waweze kukupoteza katika mgongo wa ardhi.
Mtanzania aliyeubuni ni aliyekuwa Mstahiki Mayor wa Jiji la Dar-es-salaam Mhe. Klest Sykes Mbuweni. Alitoa wazo la hili baada ya kutembelea mji wa Bogota