Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Tabia njema ni silaha.Uzuri wa mwanamke si sura bali ni nzuri tabia
Tabia njema ni silaha.Uzuri wa mwanamke si sura bali ni nzuri tabia
Silaha za marekani zina nguvu kuliko za N. KoreaTabia njema ni silaha.
N.Korea wanataka kuivuruga Amani ya dunia...japo watu washenzi Sana ni Marekani.Silaha za marekani zina nguvu kuliko za N. Korea
Marekani kuna Rais mbabe sijui kama mpaka akitoka madarakani atakosa kupiganisha vitaN.Korea wanataka kuivuruga Amani ya dunia...japo watu washenzi Sana ni Marekani.
Marekani ni wafitinishaji wa kiwango Cha lamiN.Korea wanataka kuivuruga Amani ya dunia...japo watu washenzi Sana ni Marekani.
Lami itokayo Ifakara mpaka Mikumi ni ya kiwango cha chini.Marekani ni wafitinishaji wa kiwango Cha lami
Vita ya Nyuk'lia ni hatari sana mayowe yatasikika kila kona ya dunia.Marekani kuna Rais mbabe sijui kama mpaka akitoka madarakani atakosa kupiganisha vita
Dunia inaelekea kuangamiaVita ya Nyuk'lia ni hatari sana mayowe yatasikika kila kona ya dunia.
Kuangamia kwa walimwengu kupo mbioni...imebaki nusu saa.Dunia inaelekea kuangamia
Saa yangu ya dhahabu imeibiwaKuangamia kwa walimwengu kupo mbioni...imebaki nusu saa.
Imeibiwa na nani tena...hebu nieleze mpendwa wangu wa Maisha.Saa yangu ya dhahabu imeibiwa
Maisha yana mwisho hapa dunianiImeibiwa na nani tena...hebu nieleze mpendwa wangu wa Maisha.
Dunian kuna vibaka wazoefu aloiiba mpk Leo cjamjua
Sijajua kama umebadilisha avatar. Mbna haujaniambiaDunian kuna vibaka wazoefu aloiiba mpk Leo cjamjua
Hujaniambia kama haka kamchezo kapo hivi, kanakufanya ucheke peke yako kama mwehu! Laiti ningelijua nisingejaribu kucheza!!!Sijajua kama umebadilisha avatar. Mbna haujaniambia
Kucheza salama ni mbinu nzuri ya mchezoHujaniambia kama haka kamchezo kapo hivi, kanakufanya ucheke peke yako kama mwehu! Laiti ningelijua nisingejaribu kucheza!!!
Kitaamu ni tendo la ndoa tu kwangu
Unaganda kuniambia umebadilisha avatar....mbn unaganda