bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Shule za siku hizi 200 haifai kitu.200 chukua wewe katumie shule
Shule za siku hizi 200 haifai kitu.200 chukua wewe katumie shule
Kitu kipi hichoShule za siku hizi 200 haifai kitu.
ni soft copy mkuuNinacho kitabu cha "A knight in Africa" cha Sir Andy Chande aliyekuwa kiongozi wa Freemasnory.
Ninachokitaka ni watu kufuata utaratibun na sheria za mchezo huu, tuache kukurupuka kwani mnaharibu haka kamchezo katamu!Hicho ndicho ninachokitaka
Katamu kama lollypop au ice creamNinachokitaka ni watu kufuata utaratibun na sheria za mchezo huu, tuache kukurupuka kwani mnaharibu haka kamchezo katamu!
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Cream neno gumu sana kuendelezeka inawezekana ukawa mshindiKatamu kama lollypop au ice cream
Mshindi huwa hana mbwembwe nyingi anafanya yake then anasubiri matokeoCream neno gumu sana kuendelezeka inawezekana ukawa mshindi
Matokeo yanaposubiriwa baada ya kupima VVU huwa shughuli!Mshindi huwa hana mbwembwe nyingi anafanya yake then anasubiri matokeo
Shighuli nzito ni pale mmoja wenu anapogundulika ana VVU.Matokeo yanaposubiriwa baada ya kupima VVU huwa shughuli!
VVU kirefu chake tafadhaliShighuli nzito ni pale mmoja wenu anapogundulika ana VVU.
Tafadhali jaribu kupitia article's mbalimbali kuhusu VVU lakini nitakusaidia kwa ufupi -Vina Vikali Usipime...VVU.VVU kirefu chake tafadhali
VVU bado naona ni kitendawili hujateguaTafadhali jaribu kupitia article's mbalimbali kuhusu VVU lakini nitakusaidia kwa ufupi -Vina Vikali Usipime...VVU.
Kimambi ni baba wa MangeDaudi bashite anapatana na mange kimambi
Mange ni mwanamama anayeustiri vyema wake Mwili.Kimambi ni baba wa Mange
Mwili wake ni kama kikaragosi, havutii hata kidogo!Mange ni mwanamama anayeustiri vyema wake Mwili.
Kidogo anavutia bwana!!! Kwani wewe unaupimaje uzuri.Mwili wake ni kama kikaragosi, havutii hata kidogo!