Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,193
Wamekumbatiana ana nani mkuu!Hawajaamka na bado wamekumbatiana
Wamekumbatiana ana nani mkuu!Hawajaamka na bado wamekumbatiana
! stands for Exclamation markWamekumbatiana ana nani mkuu!
Mkuu amesema hapangiwiWamekumbatiana ana nani mkuu!
Hapangiwi kwani yeye mungu?Mkuu amesema hapangiwi
Hapangiwi kiti cha mwenyekiti wa bodi..Mkuu amesema hapangiwi
Mwenyekiti wa bodi ana undugu na DabyHapangiwi kiti cha mwenyekiti wa bodi..
Daby ni mpendwa jamhuri ya Umma...Mwenyekiti wa bodi ana undugu na Daby
Ananisingizia wapi ? ushuhuda anao mubashara!!Umma wote unajua Lizy ananisingizia.
Mubashara nikizungumza kuna kitu humu sijapendezwa nachoAnanisingizia wapi ? ushuhuda anao mubashara!!
nacho kiwekwe wazi ili kirekebishwe kisikukwaze tenaMubashara nikizungumza kuna kitu humu sijapendezwa nacho
Tena na tena nakukaribisha huku niliko.nacho kiwekwe wazi ili kirekebishwe kisikukwaze tena
Niliko huku huwezi vuka bila ya kuogelea...Tena na tena nakukaribisha huku niliko.
Kuogelea najua saana labda kama kuna mambaNiliko huku huwezi vuka bila ya kuogelea...
Mamba mkubwa kapewa jins la Lizy shauri zako utajijua..!Kuogelea najua saana labda kama kuna mamba
Kukuteka mwili wako ni kukupikia chakula kitaamu !!Utajijua pale utakapokutana na defender inayokuja kukuteka
Kitaamu ni tendo la ndoa tu kwanguKukuteka mwili wako ni kukupikia chakula kitaamu !!
Kwangu ni mapishi yenye hadhi na mvuto !!Kitaamu ni tendo la ndoa tu kwangu