Wa mwisho ndiyo mshindi

sana sana siyo sana ni ubabaishaji!!
Ubabaishaji wa viongozi wa wapinzani umetia doa, pale wanapo itwa kwenye kamati ya maadili bado wanagoma, itifaki izingatiwe na bunge ni chombo ktk mihimili mitatu, basi kama mihimili mingine heshima ni muhimu sio kumuita spika fala, sheria, hoja na mijadala mingine bungeni hazijadiliwi kwa mihemko ya matusiiiiii ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…