Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,753
- 51,238
Shida weka pembeni mkamate yesu chief,ukiwa na yesu ndani yako shida zitakupita pembeni chiefJameni,hakuna kitu kibaya Duniani kama shida.
Shida weka pembeni mkamate yesu chief,ukiwa na yesu ndani yako shida zitakupita pembeni chiefJameni,hakuna kitu kibaya Duniani kama shida.
Sana sana mimi umenifanya nitabasamu kukuona karrythas,nimefurahi kukuona nimezidi kutabasamu,karrythas njoo tupike vitu vitamu samaki makange na wali,yani i miss you alot
am on my way.....sitaki kukosa mlo pendwa
Chief kumukamata Yesu bila ya kufanya kazi utakufa Njaa, Mwafaa.Shida weka pembeni mkamate yesu chief,ukiwa na yesu ndani yako shida zitakupita pembeni chief
Mwafaa! Umekuwa ni msemo maarufu tangu ulivyotumika kwa wahayaChief kumukamata Yesu bila ya kufanya kazi utakufa Njaa, Mwafaa.
Wahaya wanapenda kula seneneMwafaa! Umekuwa ni msemo maarufu tangu ulivyotumika kwa wahaya
Senene Mikoa mingine hawafahamiki.Wahaya wanapenda kula senene
Hawafahamiki kwa sababu ya ujinga walio pewaSenene Mikoa mingine hawafahamiki.
Kulipa huwezi, sana sana utaanza kuleta blah blah tu za KibashiteMleta uzi agiza bia nakuja kulipa
Pewa kila kitu ila usipewe bichwa la mbuni utaumbuka.....Hawafahamiki kwa sababu ya ujinga walio pewa
Kulipa huwezi, sana sana utaanza kuleta blah blah tu za Kibashite
Kulipa siyo lazima iwe bia pekee hata soda vilevileMleta uzi agiza bia nakuja kulipa
Kulipa siyo lazima iwe bia pekee hata soda vilevile
Ndivyo nilivyo sina masikhara na pesa chezea kazi yangu siyo mshahara !!!Vilevile anaruhusiwa kama hivyo ndivyo
Kuajiliwa ndio kimbilio kuu la wasomi kwani Elimu yetu yaituandai vyema kupambana na changamoto.Mshahara ni mdogo ila tunang'ang'ania kuajiriwa
Changamoto kubwa ni kuingiza siasa kwenye elimuKuajiliwa ndio kimbilio kuu la wasomi kwani Elimu yetu yaituandai vyema kupambana na changamoto.
Elimu yetu hakika isipotazamwa kwa Umakini itapoteza Maana.Changamoto kubwa ni kuingiza siasa kwenye elimu
Maana halisi ya neno K ni Kilimo Kwanza.Elimu yetu hakika isipotazamwa kwa Umakini itapoteza Maana.
Kwanza lazima ni Tafakari vyema njisi ya kumpata Muke asiye Penda Sana Pesa.Maana halisi ya neno K ni Kilimo Kwanza.