Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Humjui kwamba ndie bingwa na kinara wa hii thread baada ya mwanzilishi kutoonekanaKushindwa kwa ZZ ni mwiko, labda humjui ?
Humjui kwamba ndie bingwa na kinara wa hii thread baada ya mwanzilishi kutoonekanaKushindwa kwa ZZ ni mwiko, labda humjui ?
Ameitelekeza gari ile ya udhurungiKutoonekana unamaanisha ameitelekeza
Nahisi mm ndio mshindi....wamesema unaanza na NENO LA MWISHO.Rangi zote nzuri Ila black is my number one favorite colour
Lini ulianza Kwani?Mwisho wa huu mchezo sijui lini
Tafadhal tafadhal fanya haraka maana unaweza kuaamka ukakuta jamii imegeuka messengerUnachezwaje kwani mwenye uzi rudi uwafahamishe tafadhali
message hii ikufikie kama ilivyokusudiwaMessenger sio muhimu Kama message
WaTz mnastahili sifa na ubingwa kwa kubobea ktk muziki !!!Ilivyokusudiwa Ni kuwachanganya watanzania
muziki wa dansi umefunikwa na bongo fleva