Northpal
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 335
- 297
Pesa ndo kilakituKwanza lazima ni Tafakari vyema njisi ya kumpata Muke asiye Penda Sana Pesa.
Pesa ndo kilakituKwanza lazima ni Tafakari vyema njisi ya kumpata Muke asiye Penda Sana Pesa.
Pesa nyakati hizi imekuwa ikinunua utu wa watu na kudhalilisha Ubinadamu.Kwanza lazima ni Tafakari vyema njisi ya kumpata Muke asiye Penda Sana Pesa.
Ubinadamu ni kazi,bora ufadhili mbuzi utakunywa mchuzi.Pesa nyakati hizi imekuwa ikinunua utu wa watu na kudhalilisha Ubinadamu.
Mchuzi wa Mama ntilie Idodyoma sitokuja kuusahau Kamwe.Ubinadamu ni kazi,bora ufadhili mbuzi utakunywa mchuzi.
Kamwe usipende kuweka pambano na Keyon Maana atajizolea Ushindi.Mchuzi wa Mama ntilie Idodyoma sitokuja kuusahau Kamwe.
magu.. yupo kumtafutia dawa huyoUshindi wa Ney wa mitego dhidi ya Magu....
Huyo atakae thubutu kumwekea kifua.. atakiona cha mtema !!!magu.. yupo kumtafutia dawa huyo
Kuni zilizo chanjwa zilikuwa mbichi....!!mtema haiez kua mtema mpk umelizie KUNI
Sizitaki zile kashata za njugu ni bora zile za nazi....!!mbichi hiziii sizitakiii
Nazi soko lake limeshukaSizitaki zile kashata za njugu ni bora zile za nazi....!!
Limeshuka kwa sababu Mtaani kuna ukame wa Pesa.Nazi soko lake limeshuka
Maisha ni nyumbaNini kinachosababisha kupanda kwa gharama za maisha
Mkuu,Maisha ni nyumba
Mwenzako huyo atakuwa haelewi,humu hamjambo? Za siku...Mkuu,
Mbona unapindisha uzi.
Unatakiwa kuanzia pale anapoishia mwenzako.
Pesa siku hizi huleta Heshima.Limeshuka kwa sababu Mtaani kuna ukame wa Pesa.