Wa mwisho ndiyo mshindi

Sakayo nipo, nasukuma gurudumu lisiloenda mdogo wangu.
Vipi wewe lakini umefikia wapi
Wapi huku sijui Ila bado nasonga mbele wangu namshukuru mungu nafurahia mambo yangu kwa kweli
 
Kweli Mungu ni mwema mdogo wangu, pambana tuu naamini utatoka tu
Utatoka tu kama juhudi na maarifa viko kichwani mwako ahsante Dada always I keep your words on my mind thanks a lot love
 
Utatoka tu kama juhudi na maarifa viko kichwani mwako ahsante Dada always I keep your words on my mind thanks a lot love
Love you, ndo maana nakutia moyo. Naamini ukipata na mie nimepata
 
Kabisa kabisaaaa...Magu katuona sisi mafala...yani maboyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…