bwana harusi alipendeza hasa alipobadilisha na kuvaa vazi la kitengeWamenitosa kabisa kabisa hata siamini wakati Mimi nilikua ndugu wa bwana harusi
bwana harusi alipendeza hasa alipobadilisha na kuvaa vazi la kitengeWamenitosa kabisa kabisa hata siamini wakati Mimi nilikua ndugu wa bwana harusi
Kitenge cha wax nitapata duka la kariakoo?bwana harusi alipendeza hasa alipobadilisha na kuvaa vazi la kitenge
Kariakoo utabamizwa beiKitenge cha wax nitapata duka la kariakoo?
Bei siyo kitu madamu Quality na brand maarufu...Kariakoo utabamizwa bei
Brand maarufu kwa wenye nazo, sisi wengine mitumba inatuhusu....Bei siyo kitu madamu Quality na brand maarufu...
inatuhusu nasiye tunyanyuke vilivyo....Brand maarufu kwa wenye nazo, sisi wengine mitumba inatuhusu....
Siwezi Mimi kununua mibrand eti laki sijui elfu sitini nakomaa na mitumba buku jero tu napendezaMapema kinoma kulala siwezi mimi
Napendeza sana nikivaa tshirt na jeansSiwezi Mimi kununua mibrand eti laki sijui elfu sitini nakomaa na mitumba buku jero tu napendeza
Viatu tu ndiyo hutoa harafu miguuni wakati wa joto!!Jeans sio ishu siku hizi kadeti ndo habari ya mjini natingia job,church mpaka kitaa,nabadili viatu tu
Joto la Dar-es-salaam limeongezeka mara dufuViatu tu ndiyo hutoa harafu miguuni wakati wa joto!!
Dufu la qaswida za ngazija zavutia kemkem!!Joto la Dar-es-salaam limeongezeka mara dufu
Malengo ya kitu gani? Miss you humu ndanimrembo njoo tujenge malengo.
ndani kwangu kuna panya jamaniMalengo ya kitu gani? Miss you humu ndani
Jamani nauliza hivi..nini maana ya papuchi?ndani kwangu kuna panya jamani