Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Apewe haki yake baada ya kazi kukamilika !!Haulik Hakka sasa nan apewe?
Apewe haki yake baada ya kazi kukamilika !!Haulik Hakka sasa nan apewe?
Ataaminishwa engineer kuhakiki utendaji ....Kukamilika nani ataamini
Utendeja wangu wa kazi unapunguzwa na mshahara kiduchuAtaaminishwa engineer kuhakiki utendaji ....
Kiduchu hichohicho si sawa na kutokuwa nacho!Utendeja wangu wa kazi unapunguzwa na mshahara kiduchu
Nacho kikipatikana kinapitiliza kwenye madeniKiduchu hichohicho si sawa na kutokuwa nacho!
Njia nzuri ni kulipa deni kwanza ili uweze kukopa tenamadeni mengi yamenifanya nibadili njia
Tena ukishalipa usikope bila kuwa na chanzo cha mapato !!!Njia nzuri ni kulipa deni kwanza ili uweze kukopa tena
Mapato yenyewe yanaishia TRATena ukishalipa usikope bila kuwa na chanzo cha mapato !!!
TRA humo wapo miungu watu wanakupa makadirio yasio ingia akilini...!!!Mapato yenyewe yanaishia TRA
Mshahara kiduchu na pia unatumia mda wako mwingi kuwazalishia, me bora nijiajiriUtendeja wangu wa kazi unapunguzwa na mshahara kiduchu
Akilini mwangu nawaza kutafuta shamba nikalime matikiti niachane na ajira yenye mshara finyuTRA humo wapo miungu watu wanakupa makadirio yasio ingia akilini...!!!
Finyu na kidogo ni matokeo ya ardhi ndogo ya kulimaAkilini mwangu nawaza kutafuta shamba nikalime matikiti niachane na ajira yenye mshara finyu
Finyu finyu za ardhi hutopata shamba mjini yakupasa uje kwetu huku tukusaidie...Akilini mwangu nawaza kutafuta shamba nikalime matikiti niachane na ajira yenye mshara finyu
Tukusaidie ila uweze kupata unachokihitajiFinyu finyu za ardhi hutopata shamba mjini yakupasa uje kwetu huku tukusaidie...
Unachokihitaji siku zote ni budi ukiwekee mikakatiTukusaidie ila uweze kupata unachokihitaji
Mikakati yangu NI kuhamia kijijini mjini ntakuja kutumia tuUnachokihitaji siku zote ni budi ukiwekee mikakati
Tu watu wazima lakini utoto mwingiMikakati yangu NI kuhamia kijijini mjini ntakuja kutumia tu
Mwingi ulokithiri uraiani ni unyanyapaa !!Tu watu wazima lakini utoto mwingi