Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,331
- 7,885
Mafisi kwetu ni kama mbuzi tu, tunakulaga umewahi kula nyama yake wewe?Mkuu mimi ni Team Mafisi
Mafisi kwetu ni kama mbuzi tu, tunakulaga umewahi kula nyama yake wewe?Mkuu mimi ni Team Mafisi
Mkuu gbefa yanga anamchinja simba 4-0Ukifungwa usilie alibakari najua wewe team simba mkuu kesho baada ya matokeo nitakuprivate message mkuu
Mafisi na simba ni ndugu kwa hiyo kipigo kesho kinawahusuMkuu mimi ni Team Mafisi
Yao magoli yatawapagawisha ndala fc.Kinawahusu simba peke yao
Namba moja haikai hata mbili haikai piaNdala fc pamoja na jina hili bado mtaisoma namba.
Pia namba tutakayoisoma ni ya magoli tutakayowafunga mikiaNamba moja haikai hata mbili haikai pia
Mikia yao siku hizi ina cheza cheza sana hasa ukiwa nyuma yakePia namba tutakayoisoma ni ya magoli tutakayowafunga mikia
Jion hili neno ni la korea?Za jion
Korea ipi kaskazini au kusini?Jion hili neno ni la korea?
Kusini ya Korea ndo kuna amani na hakunaga matataKorea ipi kaskazini au kusini?
Matata yao yalidhibitiwa na jeshi la FFU !!Kusini ya Korea ndo kuna amani na hakunaga matata
Uwanjani kutakuwa hapatoshi Leo ndala watatafuta kichaka cha kujifichaFFU wengi nahisi leo watatanda uwanjani
wameua ndio,kwani Hujui???Kujificha tena kwani wameua