emanuel jacob
Senior Member
- Feb 14, 2017
- 110
- 135
Hamu n kitendo cha kutaman kitu cyoooWalinzi huisubiri asubuhi kwa hamu
Hamu n kitendo cha kutaman kitu cyoooWalinzi huisubiri asubuhi kwa hamu
Cyooo ungwana kutowasalimu asubuh hii... Wapendwa hamjambooo....muwe na siku njemaHamu n kitendo cha kutaman kitu cyooo
Jf n sehemu mubashara kabisa pakupataa habari ainaa zoteeNjema kabisa kwa niaba ya wana Jf
Kiboko n mnyama aishiee majiniZote kali lakini hii ya leo kiboko
Sana ukiongeza a unapata jina sanaa ambalo n LA mtt wa afande seleeMajini kuna viumbe vya ajabu sana
Selee ni kifupisho cha jina la SelemaniSana ukiongeza a unapata jina sanaa ambalo n LA mtt wa afande selee
Chuji?? sijapata sikia hlo jina sehem yoyoteSelemani Matola au Athumani Iddi Chuji
Kumi na moja ni idadi ya wachezaji ndani ya timu ya football !!!Yoyote ile we nipe mkuu me napokea kwa sababu sigharamii hata cent kumi
!!!!! Ni alama inayowekwaa mwisho wa sentensiKumi na moja ni idadi ya wachezaji ndani ya timu ya football !!!
Sentensi zilizonipa ukakasi na sintofahamu...!!!!! Ni alama inayowekwaa mwisho wa sentensi
Sintofahamu hii imeanzaa lini kwakooSentensi zilizonipa ukakasi na sintofahamu...
Kwakoo huko huko ndo pazuriSintofahamu hii imeanzaa lini kwakoo
Pazuri japoo c Sana'a kama shemeji alivyooKwakoo huko huko ndo pazuri
Alivyo mrembo, sikuchelewa kumnadi kwa dalali...Pazuri japoo c Sana'a kama shemeji alivyoo
Dalali aliwahi kuwa Mwenyekiti wa klabu ya mtaa wa MsimbaziAlivyo mrembo, sikuchelewa kumnadi kwa dalali...