Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
..Mboto ndo Jina Lako eeeh????Hujui kitu wewe Hb wa ilala au Gongo la mboto
..Mboto ndo Jina Lako eeeh????Hujui kitu wewe Hb wa ilala au Gongo la mboto
Mboto ni shabiki Wa YangaHujui kitu wewe Hb wa ilala au Gongo la mboto
Yanga !! ilizaliwa jangwani jua kali.....!!Mboto ni shabiki Wa Yanga
Kweli unayosema au watu ndio wanafanya vuruguKali zaid ni ya leo mechi kama vita polis wamepania kweli kweli
Vurugu sio mzuriKweli unayosema au watu ndio wanafanya vurugu
Tupu ya mmoja wa mashabiki imekatwa!Nimefika hom, ila mitaani kuna shamra shamra tupu
Imekatwa au kaamua kuikata baada ya kufungwa
Tofauti ipo...... Wanasimba za asubuh........miss you sana wapendwa..Kufungwa...Kufunga Yote ni sawa tu hapa nchini mbele huko ndo unaona tofauti
Tano goli au namba, habarini za jumapili yenu, naamini mmeanza siku yenu kwa kusaliNi sahii kabisa, pale Yaga hakuna timu nashangaa wanawafungaje wengine hadi goli tano
Vijana wa kileo hawapendi kusali kabisaaKusali ni jambo jema hasa kwa sis vijana
