Ni nyingi ukilinganisha na kipato cha mtanzania wa kawaidaMilioni 4 ni nyingi
Kawaida ya panya ni kutafuta tundu jipya kila sikuNi nyingi ukilinganisha na kipato cha mtanzania wa kawaida
Ndefu ile kamba aliyojinyoga nayo mhalifu!!Siku ya leo imekuwa ndefu
Mhalifu anatafutwa na polisiNdefu ile kamba aliyojinyoga nayo mhalifu!!
Moi alikuwa Rais wa wakenya woootePolisi ya Tanzania ipo kama ya Kenya enzi za Arap Moi
Huu Uzi hauwezi isha leoUnamjua aliyeanzisha huu uzi?
Ndugu zangu leo mmewahi kulala..... KulikoniWambuzi mwenyewe kala mita, usiku mwema ndugu zangu