Hizi post usichukulie kuwa wachangiaji wapo east africa,wamezaga dunia nzima ndiyo sababu hawalaliNifanye yangu mida hii, watu hawalali siku hizi
Jamani za asubuh humu ndaniYoyote yule anaweza kuwa mshindi haswa Mimi jamani
Ndani kweupe lakini nje kuna ukakasi na ukoko!!Jamani za asubuh humu ndani
Ukoko wa burger ni mtamu hasa wa chipsi piaNdani kweupe lakini nje kuna ukakasi na ukoko!!
Chipsi pia ni lishe chakavu (scrapu) maana haina faida mwilini....!!Ukoko wa burger ni mtamu hasa wa chipsi pia
Sasambua inapendwa sana uswahilini, yaani inalaikiwa videadlySambamba samba sasambua
Videadly ndo neno gani hilo???Sasambua inapendwa sana uswahilini, yaani inalaikiwa videadly
Hilo ni neno la KE madhee yan linabamba videadlyVideadly ndo neno gani hilo???
Flani anamashauzi yasiyo kubalika....!!Videadly yani vile niko in love na kamanzi flani
Anao uwezo wa kiuchumi ataenda popote watampokea....Yasikubalika ni yale mashauzi kama unamiliki uhai wakati kila mtu anao
Watampokea wenye nia kama zakeAnao uwezo wa kiuchumi ataenda popote watampokea....