gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Mimba tu ndio inakufanya uitwe mwanamke uliekamilika ooh kama haufaham hilo, by the way I missed youUwanawake haupimwi kwa mimba tuu
Mimba tu ndio inakufanya uitwe mwanamke uliekamilika ooh kama haufaham hilo, by the way I missed youUwanawake haupimwi kwa mimba tuu
You are so indivisible now days gbefa by the way usiku mwema na weweMimba tu ndio inakufanya uitwe mwanamke uliekamilika ooh kama haufaham hilo, by the way I missed you
Wewe hujambo,You are so indivisible now days gbefa by the way usiku mwema na wewe
We dem boy pia upo jamaa angu dah am glad to see @ least your post, tuko pamoja braza mambo yanakwenda randomly ndio maana tunadoj kimtindo pamoja Sana kakaYou are so indivisible now days gbefa by the way usiku mwema na wewe
..Kaka umeongea mengi sana hapaWe dem boy pia upo jamaa angu dah am glad to see @ least your post, tuko pamoja braza mambo yanakwenda randomly ndio maana tunadoj kimtindo pamoja Sana kaka
Hapa hachomoki mtu hata akidaiwa deni...!!..Kaka umeongea mengi sana hapa
deni haliuwi mtuHapa hachomoki mtu hata akidaiwa deni...!!
Mtu mzima akilia lia ujue kuna Maswayibu na Sintofahamu !!!!deni haliuwi mtu
Wasiooa wapo katika dhiki misongo, Na waliooa wapo ktk dhiki ya kudumisha...Tuliooa tunatamani maisha ya wasiooa
Kudumisha ni kazi ngumu kuliko kuanzishaWasiooa wapo katika dhiki misongo, Na waliooa wapo ktk dhiki ya kudumisha...
Kuanzisha mradi wa aina yyote lazima uanze na roadmap !!Kudumisha ni kazi ngumu kuliko kuanzisha
..tena atoe Maelezo ya kutoshaRoadmap ndio nini tena
maelezo ya kutosha Roadmap sijui ramani ya barabara..tena atoe Maelezo ya kutosha
tena hiyo Roadmap sijawahi hata kuiona kama inatumika hapa kwetuRoadmap ndio nini tena
kutosha kuwaelewesha wanajamii forum wote..tena atoe Maelezo ya kutosha
kudumisha nini tena ?Wasiooa wapo katika dhiki misongo, Na waliooa wapo ktk dhiki ya kudumisha...
wasiooa nao wanatamani walo kwenye ndoa but wangejua walo oa wanatamani watokeTuliooa tunatamani maisha ya wasiooa