T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,932
- 30,092
Yaliyochemshwa kwa kweli ni maji Salama kwa matumizi ya binadamuMaji safi na salama ni yale yaliyochemshwa
Yaliyochemshwa kwa kweli ni maji Salama kwa matumizi ya binadamuMaji safi na salama ni yale yaliyochemshwa
Yaliyochemshwa na kuchujwa, ndivyo mwalimu wangu wa sayansi darasa la tatu alivyonifunzaMaji safi na salama ni yale yaliyochemshwa
Mabaya hayo wanayajua ila bado wayafanyaBinadamu ni kiumbe pekee chanye utashi wa kujua mema na mabaya
Binadamu sio wemaYaliyochemshwa kwa kweli ni maji Salama kwa matumizi ya binadamu
Wema ni hazina kwa M/MunguBinadamu sio wema
Kweli dunia ina mamboSana tu kivipi? Huendagi na side B ya CD kweli?
Chafya ni afya,ukitapika kapimeUvumba mwingine husababisha chafya
Kapime ucje ukawa kijachoChafya ni afya,ukitapika kapime
kijacho huwa kinasumbua sana wanawake hasa kichefu chefuKapime ucje ukawa kijacho
Kichefu chefu ni dalili kuu ya mimbakijacho huwa kinasumbua sana wanawake hasa kichefu chefu
Uwanawake haupimwi kwa mimba tuuMimba kuwa nayo ndo uwanawake
Mimba ni barakaKichefu chefu ni dalili kuu ya mimba
Baraka ni kweli lkn baraka zaidi ukiwa ndani ya ndoaMimba ni baraka
Uwanawake unapimwa kwa mengi jamani duh!Mimba kuwa nayo ndo uwanawake
Ndoa yataka uvumilivu,heshima, upendo na uaminifuBaraka ni kweli lkn baraka zaidi ukiwa ndani ya ndoa
uaminifu kazini ni profile ya kukupaaisha ngaziNdoa yataka uvumilivu,heshima, upendo na uaminifu
Ngazi kwa ngazi ya Salama mnaionaje wakuuuaminifu kazini ni profile ya kukupaaisha ngazi