Vumbi limezidi, hali ya ukame sio nzuri, njaa pia ni kali hakuna lenye nafuuZZ sijamsikia muda ukame umemkumba au anavuna vumbi
mafua makali, chafya kali mnoVumbi husababisha mafua
Dunia as the world, is the third planet from the Sun and the only object in the Universe known to harbor lifeVumbi kuvunwa ndio nasikia leo tangu niijue dunia
Mno mnono maziwa yakichemka huzaa malai..!!mafua makali, chafya kali mno
Life is sweet just smile you will succeed...Dunia as the world, is the third planet from the Sun and the only object in the Universe known to harbor life
malai ndiyo nini chiefMno mnono maziwa yakichemka huzaa malai..!!
kabisa mimi naona tuelekeze nguvu kuwekeza soka kwa vijana ili tupate timu ya taifa bora itakayo tupa raha na matumaini mapyaTulivu haiwezi kuwa coz joto kali mpk najikuta navua na boxa tu kabisa
Viwanda? Tanzania ya viwanda inawezekana mkuuTanzania ya viwanda
vibaya hivyo kutudanganyaKuogelea kwenye swimming pool sijawahi lkn baharini nayakata vibaya
maji yapi hayo ukhutyMwenzio akinyolewa nawe Tia maji
Waungwana naamini wapo salamatulivu kama maji ya mtungi, habarini ya leo waungwana
Kushangilia kwa akina mama ni kupiga vigelegeleMbaya zaidi ni kwa watu badala ya kulisimamisha gari na kuwaambia wafunge wao ndio wanakuwa kwa kwanza kushangilia
Succeed kwa kutabasamu tu, mkuu mhmhmh ngoja na mimi nitabasamu ili nifanikiwe mkuuLife is sweet just smile you will succeed...
Mkuu tanasamu lako limetuteka nyoyo zetu sote ke kwa me.., huoni hiyo faida ??!??Succeed kwa kutabasamu tu, mkuu mhmhmh ngoja na mimi nitabasamu ili nifanikiwe mkuu
Faida huja baada ya kuwekeza mtaji kwenye biasharaMkuu tanasamu lako limetuteka nyoyo zetu sote ke kwa me.., huoni hiyo faida ??!??
Vigelegele vina raha yake, na wamakonde ndio wataalam sana vya hayo mamboKushangilia kwa akina mama ni kupiga vigelegele
haya mambo ya mapenzi yanahitaji utulivu......Mambo Mazuri haya