Vilago gani hivyo mkuu??Haya jamani kumekucha leo nimekuta ile wizara ya vito mbalimbali hapa nchini ikifungasha vilago!
Mkuu, vilago vya kwenda kutumia makao makuu Idodomya!Vilago gani hivyo mkuu??
Faida kwa sisi sote mkuu, umenifanya nikumbuke song la Pharrell~happyMkuu tanasamu lako limetuteka nyoyo zetu sote ke kwa me.., huoni hiyo faida ??!??
Vilago vyangu nimeshafungasha mkuu byeHaya jamani kumekucha leo nimekuta ile wizara ya vito mbalimbali hapa nchini ikifungasha vilago!
Bye, safari njemaVilago vyangu nimeshafunga mkuu bye
Utulivu unapata haswa pale unapo mpata akupendayehaya mambo ya mapenzi yanahitaji utulivu......
Njema bbcBye, safari njema
Akupendaye mpaka na wewe umpende....ndipo utulivu utashamili....Utulivu unapata haswa pale unapo mpata akupendaye
Disemba haiko mbali maadam tumeanza mwezi JanuariUtashamili kama chrismass tree mwezi wa disemba
January hadi disemba ni mbali sana, labda iwe disemba ya mwaka uliopitaDisemba haiko mbali maadam tumeanza mwezi Januari
Uliopita mwaka ulikuwa wa furaha na amani teleJanuary hadi disemba ni mbali sana, labda iwe disemba ya mwaka uliopita
Uliopita ulikua ni mwaka wa changamoto sana kwa watanzaniaJanuary hadi disemba ni mbali sana, labda iwe disemba ya mwaka uliopita
Watanzania wengi hupoteza nguvu zao, na hupoteza wakati wao thamini kwa kulalama....Uliopita ulikua ni mwaka wa changamoto sana kwa watanzania
Watanzania mpoooUliopita ulikua ni mwaka wa changamoto sana kwa watanzania

Mpoo wapi usiku huu uliyojaa mashaka na vurugu....Watanzania mpooo![]()
![]()
![]()
Vurugu za mchana tamu sana hasa ukute Vurugu za kufamaniwa/ugoniMpoo wapi usiku huu uliyojaa mashaka na vurugu....
Tele neno moja hivi ambiguous to make a statementUliopita mwaka ulikuwa wa furaha na amani tele
Watanzania million46, siku mpaka siku tunaongezeka.Uliopita ulikua ni mwaka wa changamoto sana kwa watanzania