Yesu atakaporudi kila jicho litamwona.sote tunajua mawazo bila kuwa na hela hayaishi na mshindi wa shindano hili hatakaa apatikane mpaka Yesu atakaporudi.
Upande gani ntakuwepo unafikiri?yesu harudi huku hakuna alichosahau kila kitu keshatufanyiaYesu atakaporudi kila jicho litamwona.
Kimbembe kinakuja uko upende gani[emoji15] [emoji102]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15]Upande gani ntakuwepo unafikiri?yesu harudi huku hakuna alichosahau kila kitu keshatufanyia
[emoji15] unashangaa ni mjini utaibiwa wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15]
Wewe haibiwi mtu hapa labda waniteke[emoji15] unashangaa ni mjini utaibiwa wewe
Waniteke mimi! Labda niwe mgonjwa vinginevyo kichapo kitawahusuWewe haibiwi mtu hapa labda waniteke
Kitawahusu haswa maana naona wew sio wa mchezo mchezo!Waniteke mimi! Labda niwe mgonjwa vinginevyo kichapo kitawahusu
yumo nae miongoni mwa wasiosikiliza ushauri wa wasaidizi.......[emoji87] [emoji87] ....Kuogopwa hata mbwa mwenye kichaa nae yumo
Mchezo gani unaoupenda?Kitawahusu haswa maana naona wew sio wa mchezo mchezo!
Kitawahusu wote wanaoshiriki kwenye huu mchezoWaniteke mimi! Labda niwe mgonjwa vinginevyo kichapo kitawahusu
Mungu ni wetu sote
Volleyball[emoji39]Mchezo gani unaoupenda?
Volleyball ni mchezo mzuri sana, ziko za aina yofauti tofauti, kuna za viwanja vya Cement, kuna clay na kuna beach volleyball, wewe hipi unapenda?Volleyball[emoji39]
Unapenda kutembeaVolleyball ni mchezo mzuri sana, ziko za aina yofauti tofauti, kuna za viwanja vya Cement, kuna clay na kuna beach volleyball, wewe hipi unapenda?
Unapenda kutembea
Embe tena, asante kwa kujaliKutembea napenda sana hasa Mbugani, beach ect, karibu embe
Kujali ni jambo jemaEmbe tena, asante kwa kujali
Embe tena, asante kwa kujali