Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,842
- 50,556
kutema cheche ni sifa aliyopewa Magufuli na Kikwete, lakini kwa utata alioleta kwenye uteuzi aliyoufanya sidhani kama bado anatema checheKutema inategemea na ladha yenyewe, kama tamu huwezi kutema
kutema cheche ni sifa aliyopewa Magufuli na Kikwete, lakini kwa utata alioleta kwenye uteuzi aliyoufanya sidhani kama bado anatema cheche
HahahahahNgumu kumeza bora kutema
Sakayo niko muheza huku, mahali wanapaita mdote
Mdote napasikia tu muheza nimepita tu kwenda Tanga sina uzoefu nako vipi wanapatikana wenye wapo kama wewe nije nivute mmoja awe wangu milele maishani mwanguSakayo niko muheza huku, mahali wanapaita mdote
Mwangu moyoni natamani kusikia umempata wa ubavu wako, usijali mwaya tutatafuta wote ukijaMdote napasikia tu muheza nimepita tu kwenda Tanga sina uzoefu nako vipi wanapatikana wenye wapo kama wewe nije nivute mmoja awe wangu milele maishani mwangu
Mrembo wa humu ni nan jaman ambae hana mume?ambae atakua ananipiga vzinga ili akili ifanye kaz Mara mbili ya sasa,,,ha ha za jion jaman Leo huku nilipamiss sanaBint mrembo
Nilipamiss Sana club Mkuu.. Jana ikabidi niende tu bakurutuMrembo wa humu ni nan jaman ambae hana mume?ambae atakua ananipiga vzinga ili akili ifanye kaz Mara mbili ya sasa,,,ha ha za jion jaman Leo huku nilipamiss sana
Bakurutu tena, habari za jioni NamgeNilipamiss Sana club Mkuu.. Jana ikabidi niende tu bakurutu
Namge ni Id ya kike au kiume?Bakurutu tena, habari za jioni Namge
Mkuu mie niko salamaa, sijui kwako ELY wa 1990Namge ni Id ya kike au kiume?
Sakayo mambo vipi mkuu
Mkuu humu jf inamaanisha nduguMkuu kila mtu mkuu
Ndugu yangu upo!?Mkuu humu jf inamaanisha ndugu
Upo powa gbefa na wadau wa huu uzi za jioni..Ndugu yangu upo!?
Upo powa gbefa na wadau wa huu uzi za jioni..
Mkuu humu jf inamaanisha ndugu
Upo wapi wewee, umepotea kama mvua za vuliNdugu yangu upo!?