Wa mwisho ndiyo mshindi

Hivi ni kwa nini huyu mwandishi aliamua kuandika hivi?. (Historia ya Tanganyika-Zanzibar).
 
Ngorongoro siku hizi hakuna mvuto kama zaman,,,ulikua ukifika wamasai wa pale wanakua kivutio kikubwa San tofauti ha hawa wa sasa HIV wanaovaa jeans za dukani
Umenikumbusha wakati tunavuka geti ya Robanda-seronela aliulizwa dereva unawatu wangapi??

Akajibu wa5 na wamasai wa2,,

akaulizwa wamasai sio watu??

Akajibu ni kivutio cha nchi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bas mie mbavu sina
 
Sina cha kudadavua toxic9, si ukasome vitabu jamani! Kwani yule alievumbuliwa olduvai george ni nani?
 
Zaman naiman ilikua ni ngumu sana kuamua mwenyewe kuoa bila wazaz kukutafutia mke au mime,,kimbembe sasa ukatae utajuta na miradhi hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…