Wangu hiyo ni bingo dah ahsante sana mkuu nategemea makubwa kutoka kwakoMkuu kwa kuwa umetia jitihada kubwa sana kuniletea njiwa sakayo mkononi ila nimekata tamaa, nitakachofanya nitakupa mdogo wangu
Looh hapo umenena wangu mnipe tu kwa kweliWangu mpe tu jamani hata mdogo wangu gbefa anone looh
Sipewi hela mkuuLooh ni vitu gn ivyo mnapeana nyie tu? Mbona mm sipew [emoji6]
Kwako pia nategemea mafanikioWangu hiyo ni bingo dah ahsante sana mkuu nategemea makubwa kutoka kwako
Kweli unapewa mke saa hii, toxic9 kuja hukuLooh hapo umenena wangu mnipe tu kwa kweli
Huku hawezi kuja ameanza kunikimbia hataki kumuachia nduguyeKweli unapewa mke saa hii, toxic9 kuja huku
Sungura harubuniki ni mjanja ka nnNduguje na fisi ni sungura
Umemaanisha kuachana na ccm kweli!Nini umemaanisha
Njaa ipo kila kona ya nchi mkulu hataki kukiriKweli bado hajaamini hakuna njaa
Kukir kutampunguzia wafuasiNjaa ipo kila kona ya nchi mkulu hataki kukiri
Wafuasi wa ccm wamemchoka m/kiti waoKukir kutampunguzia wafuasi
Wako hawataki kukubaliWafuasi wa ccm wamemchoka m/kiti wao
Kitambo kidogo tutajua tuendako japo kwasasa tuna maswali lukukiWafuasi wameshapungua kitambo
Maswali lukuki ndo yanaosababishwa watu wajibiwe ovyoKitambo kidogo tutajua tuendako japo kwasasa tuna maswali lukuki