Majanga kweli pacha, ila pacha mfumo upo hivi, ukichelewa kulala basi ule muda ni lazima utaufidia mahala kwa kusinzia, huwezi mtu ukakesha siku nzima hujalala na kesho tena hujalala hapo lazima utakua unasinzia eneo la kazi pacha na pia maradhi pacha kukosa kulala basi magonjwa nyemelezi yatakupataLakini mnawezaje kulala mapema hivi mbon mimi mwaka wa 3 au 4 sikumbuki ni siku gani nililala walau saa 5 nimewahi saa sita mpk saa tisa zikinipanda mpk asubui na nikitoka hapo naunga kwenye mishe mishe yaani full majanga
Kama mende [emoji3] [emoji3]Balaa tupu pole sana jomba mama yule anakulaga pweza sana siku hizi na juisi ya ukwaju ndo maana yupo walu walu km mende
Sana si mdogo kihivyo, sema sakayo anakiburi sanaHakaniagi tena? mbna kama kadogo dogo sanaa[emoji23] [emoji23]
Kama mende au kifo cha mende kwenye kwichi kwichi.. Kitanda kinapiga kelele baby kama vipi tushushe godoro..[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Kama mende [emoji3] [emoji3]
Pacha mama zuckerberg kaingia humu leo??Majanga pacha, we acha tu, ila sakayo mtoto wa kike mwache alale mapema, sisi vidume tupige story changamsha genge pacha
Mende mdudu mchafu sanaKama mende [emoji3] [emoji3]
Sana,ila pacha mtoto sakayo unamzimia kweli kweli kesho akirudi kanisani itabidi mimi gbefa tumuandame mpk alainikeMende mdudu mchafu sana
Mende alinipa tabu sana kipindi cha Advance level NATIONAL EXAMINATION wakati wa unafanya experiment kumpasua, alikua akichomoka unaanza kumkimbiza huku muda wa pepa unaenda PRACTICAL hiyo ya biosBalaa tupu pole sana jomba mama yule anakulaga pweza sana siku hizi na juisi ya ukwaju ndo maana yupo walu walu km mende
Leo sijamuona pachaPacha mama zuckerberg kaingia humu leo??
Alainike mtoto mgumu kama nini, ila sakayo anapenda kubembeleza nitajipanga upya mpaka kielewekeSana,ila pacha mtoto sakayo unamzimia kweli kweli kesho akirudi kanisani itabidi mimi gbefa tumuandame mpk alainike
Alainike[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] poa maana nikimsaidia Toxic9 na yeye atanipa Mdogo wake tu kwa kweliSana,ila pacha mtoto sakayo unamzimia kweli kweli kesho akirudi kanisani itabidi mimi gbefa tumuandame mpk alainike
Ufutwe kwa sheria gani uliyotumia ya Jamhuri ya Muungano, sijuti tuliaHuu uzi ufutwe
Kweli ukaze buti, kunishawishi itachukua muda,Alainike[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] poa maana nikimsaidia Toxic9 na yeye atanipa Mdogo wake tu kwa kweli
Sijuti tulia wewe jina lako lenyewe chenga tuUfutwe kwa sheria gani uliyotumia ya Jamhuri ya Muungano, sijuti tulia
Muda unakwenda kweli ngoja nilale tu usiku mwema wakuuKweli ukaze buti, kunishawishi itachukua muda,
toxic9 Acha uchochezi [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Kweli ukaze buti, kunishawishi itachukua muda,
Mende style gani eti DRKama mende [emoji3] [emoji3]
Mkuu lala salamaMuda unakwenda kweli ngoja nilale tu usiku mwema wakuu