Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Professional yangu ni doctor wa mifugoPacha wangu Aishah2016 mimi si ndiye nimempa kibali namge akuoe so mimi pacha wangu nimekukabidhi kwenye mikono salama pacha wangu doctor by professional
Unaharibu hapo kaka me namfahamu yule wa [emoji183] [emoji183] [emoji183] sasa huyu untaka umfanye mchepuko mkuuNgumu kumeza mdogo wangu, dah mdogo wangu naona hurudishi fadhila, mimi nilipambana umpate rafiki yake sakayo ila wewe unaharibu hutaki nimpende kabisa sakayo
Watu wamebadilika sana wakati kutoka na utandawaziProfessional ya u doctor kweli au ndo ki jf, afu ww nani kukupa kibali cha kuwaozesha wtt wa watu
December imefanyaje pacha? Wala ni hii January mpunga unakata hasa kwa majukumu ya kupeleka watoto shuleNgumu zaidi kipindi hiki cha January baada ya matumizi makubwa ya december
Pacha wako wewe namge na usimtupe mgande kama ruba ndo wako yule wanguPacha na mm natafta pacha jmn.. Maana kila mtu pacha pacha
Wangu hayupo, wako hayupo chuki ya niniPacha wako wewe namge na usimtupe mgande kama ruba ndo wako yule wangu
Pacha mwenzangu alifariki akiwa na umri wa siku sabaMoja ehh, ila kweli pacha
Shule zinatutia wendawazimu Mungu tusaidieDecember imefanyaje pacha? Wala ni hii January mpunga unakata hasa kwa majukumu ya kupeleka watoto shule
Yako ratiba ipoje kwa siku ya Jumamosi kama hiiMkuu nimeipenda bure ratiba yako
Saba saba mwaka huu itakuwa liniPacha mwenzangu alifariki akiwa na umri wa siku saba
Yoyote tu mkuu natumiaSiku zote tukumbuke kwamba hapa duniani tuko matembezini na tutaondoka siku yoyote.
Hilo gwala nimepokea pacha, samaki makange mtamu sanaPacha [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Gwala hilo
Hii jmosi ni usafi mwanzo mwishoYako ratiba ipoje kwa siku ya Jumamosi kama hii
Shule shule yetu shule yetu tunduruuuu twaaamuombaaa mola akujalie, ili shule iweze kuwa imara daima shule yetu ya tunduru mungu Linda daima, wewe ni chombo chetu, ulizaliwa kwa umoja, na kila hali, haiwezekani iwe mwiko kwetu daima shule ya tundura Linda daimaaaaaaaa[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] nimekushwa mbali sana dah ugali na maharage dairy ilikuwa ni mwendo wa suti tu... Impossible is possibleDecember imefanyaje pacha? Wala ni hii January mpunga unakata hasa kwa majukumu ya kupeleka watoto shule
Nini tugombane basi nakuunga mkono mkuu kuwa naye ngoja nikusaidie kupiga pasi za mwisho kama xaviWangu hayupo, wako hayupo chuki ya nini
Lini tunapanga safari ya Tarangire kumwangalia mdogo wake Faru JohnSaba saba mwaka huu itakuwa lini
Mifugo yangu ina maradhi nakuomba uje haraka doctor [emoji40]Professional yangu ni doctor wa mifugo
Mkuu dini yangu inaruhusu mdogo wanguUnaharibu hapo kaka me namfahamu yule wa [emoji183] [emoji183] [emoji183] sasa huyu untaka umfanye mchepuko mkuu
Natumia nafasi hii kuwatangazia mshindiYoyote tu mkuu natumia