Subtitle in korean series hahahahah you are very something, life we are we living is more blessed and wounderful dont just undermineWonderful day without money is like Korean series without subtile
Ziko? Hahahahah tunamuombea worry notGuys mumombee mdogo wangu gbefa ana jukumu ziko
Kamteka kama walivyo mteka ben SaananeGuys mbona beib ake simuoni huku now days.. Nani kamteka
Worry not, sasa unacheka nini lakinii. Ndo shida hiyooo ya kuibia huku nawajibikaZiko? Hahahahah tunamuombea worry not
Kweli unatudanganya, jana ulijificha unasoma tu tokea asubuhi umekuja kuonekana usiku wa saa sita sahvi unajifanya test ya leo haitaji kujiandaa mdogo wangu, vyepesi ndiyo vina felishaTest ya leo kawaida tu haitaji kujiandaa kama unahama nchi inshu ipo jumatatu, hesabu ugonjwa wa taifa wadau naichukia kinoma ila sina namna kwa kweli
Vinaferisha kivipi wakati nilishajipanga tangu last night ng'ombe ananenepi siku ya mnada kaka, leo nikisoma nitapanick najijua nilivyo sina wasi wasiKweli unatudanganya, jana ulijificha unasoma tu tokea asubuhi umekuja kuonekana uaiku wa saa sita sahvi unajifanya test ya leo haitaji kujiandaa mdogo wangu, vyepesi ndiyo vina felisha
Wasiwasi wa nini kitu kiko mwake.Vinaferisha kivipi wakati nilishajipanga tangu last night ng'ombe ananenepi siku ya mnada kaka, leo nikisoma nitapanick najijua nilivyo sina wasi wasi
Mwake mwake man komaa naye punguza lawama kama sanduku la maoniWasiwasi wa nini kitu kiko mwake.
undermine that could nothing , since it was victory simply to be acted.Subtitle in korean series hahahahah you are very something, life we are we living is more blessed and wounderful dont just undermine
Vinafelisha zaidi ukividharauKweli unatudanganya, jana ulijificha unasoma tu tokea asubuhi umekuja kuonekana usiku wa saa sita sahvi unajifanya test ya leo haitaji kujiandaa mdogo wangu, vyepesi ndiyo vina felisha
Ukividharau vitakuumiza mkuuVinafelisha zaidi ukividharau
Mkuu Wa chama cha CHAPUTA ni nani?Ukividharau vitakuumiza mkuu
Asee nimemiss sana alafu siku hizi amekuwa bonge la mwana anacheza draft na masela kijiwenimkwere atakumbukwa daima
Kwani wewe unaona watanzania hawajitumi?Maoni yangu ni kuwa Watanzania tujitume
Ehee... Tupe hayo maelekezo au mfano basi wa kujituma kitandani.Hawajitumi hata vitandani
Kitandani napo muelekezwe? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watanzania mmenishinda tabia!!Ehee... Tupe hayo maelekezo au mfano basi wa kujituma kitandani.
Tabia nzuri ndiyo silaha utapendwa popoteKitandani napo muelekezwe? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watanzania mmenishinda tabia!!
Popote kambiTabia nzuri ndiyo silaha utapendwa popote