Wa mwisho ndiyo mshindi

Salama IPI salamu au salama condom,maana watu siku hizi wanakufuru sana,badala ya kuomba mvua inyeshe tunabaki kulalamika tu bila kutoa mchango kitaalam ili tuivuke hali hii.
 
Njema yako tabia ni matunda yaliyotokana na kulelewa vizuri na wazazi wako.
Wako marafiki wengi wazuri sana ambao unatamani kutowapoteza wewe pia ni mmoja kati ya marafiki i wish not to lose, more appreciation to you and your entire family, happy January friend
 
Kitonga ndo wapi mkuu, hongera sana mdogo wangu mie nakuaminia
Nakuaminia dada una maswali kama mwalimu wa kifaransa,
Kitonga ni mlima watu wa nyanda za juu kusini wanautambua shughuli yake, maisha yangu ya kawaida kama nipo mlimani natelemka vile nampenda Jpm
 
Nakuaminia dada una maswali kama mwalimu wa kifaransa,
Kitonga ni mlima watu wa nyanda za juu kusini wanautambua shughuli yake, maisha yangu ya kawaida kama nipo mlimani natelemka vile nampenda Jpm
Nampenda Jpm pia ila Mmmh
 
Anakuponza soma mdogo wangu, aaah nilipitiwa maana ufupi daah, mie nakutakia mafanikio kwenye test ya leo
Test ya leo kawaida tu haitaji kujiandaa kama unahama nchi inshu ipo jumatatu, hesabu ugonjwa wa taifa wadau naichukia kinoma ila sina namna kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…