Wa mwisho ndiyo mshindi

Wangu wametulia nina wake sita na nawapendana sana, na wote nawatimizia haja ya mioyo yao, wazima humu ndani! Naanza na wewe jirani sakayo
Sakayo niko poa kabisa mpendwa, habari za jumatatu
 
Mkuu nimekupenda bure
 
Tunawapenda kweli yatima??? Tafakari, Je ni nani humu ndani ana utaratibu wa kuwatembelea yatima na kuwasaidia kwa chochote? Naamini hatuzidi hata kumi, muwe na roho ya upendo na ya kutoa
Kutoa tunatoa michango ya harusi tu, yatima tumewasahau kabisa
 
Kutoa tunatoa michango ya harusi tu, yatima tumewasahau kabisa
Kabisa mkuu, tusiwasahau hawa watoto, wanatuhitaji sana tuwasaidie hata kwa nguo za mtumba tuwapelekee sio kuchangia harusi tu, sakayo upo vizuri sana na shughuli za kijamii i like u mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…