Wa mwisho ndiyo mshindi

Aiseeeehhh nimekuelewa ndugu yangu goodmorning all, ila huwezi kujiajiri kama hujawahi ajiriwa kuna vitu vingi sana utajifunza ukiajiriwa na utajifunza eg risk management, risk transfering, management approach, cost minimization, marketing in general , staff management, time management, strategic planning for the business, SWOT analysis, na monthly & annual reports, annual stocktaking etc kwa hiyo kuna faida kubwa sana kuanza kuajiriwa kabla ya kujiajiri kwa mtazamo wa kujifunza
 
Kujifunza kuna uwanja mpana mkuu, nashukuru nipo na watu walionitangulia na walio na uwezo kama wewe naamini hakuna kitakachoalibika ili hali mawazo, ushauri na mkazo wako ndio msaada kwangu..
Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki..
Tupo pamoja mkuu shukrani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…