goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
Aiseee sisi ambao tumekimbia shule toka form 4, tunawaonea wivu mliosoma elimu ya juu ila njooni tuungane mtaani tusake hela tusake mapema kitaelewaka tu mkuu...Ujiajiri bila mtaji me napiga bachelor degree in logistics & transport management, mkuu nasoma ili niwe na mawazo mapana kidogo kuhusu kuajiriwa ikitokea nitafanya hivyo but ndoto zangu zipo mbali sana na kuajiriwa...
Napendelea mawili tu chuoni communication skills na transport safety and security kwa sababu ndio masomo pekee nayosoma bila kutumia scientific calculator..
Ila haya matatu yaliyobaki yaani kama haupendi hesabu baasi lazima ile kwako ni mwendo wa calculations hadi naogopa aisee
Au wewe ndo yule Salim Kikeke mtangazaji wa BBC?Mamaafacebook yaani mama wa uso wa kitabu au!
Bbc kwa habari za uhakika wako mbele sanaAu wewe ndo yule Salim Kikeke mtangazaji wa BBC?
Sana tu napendaga kugegedana kwa kweli sababu ndo ugonjwa wanguBbc kwa habari za uhakika wako mbele sana
Wangu mkoba unapesa ya kutosha kwa mahitaji muhimuSana tu napendaga kugegedana kwa kweli sababu ndo ugonjwa wangu
Muhimu lazima nifike kwako mkuu QUIGLEYWangu mkoba unapesa ya kutosha kwa mahitaji muhimu
Quigley sina mashaka na wewe karibu sana upate angalau kidogoMuhimu lazima nifike kwako mkuu QUIGLEY
Kidogo kipi hicho mkuu maana mmmmh kauli tata hiyo ujueQuigley sina mashaka na wewe karibu sana upate angalau kidogo
Kidogo ndiyo kiasi ganiQuigley sina mashaka na wewe karibu sana upate angalau kidogo
Ujue kila kitu ni safi kwa walio safi, wenye mioyo mibovu hufikiri mabovu, kidogo nikisemacho kwani usifikiri ni pesa kuliko kingine!Kidogo kipi hicho mkuu maana mmmmh kauli tata hiyo ujue
Kingine nisichokipenda ni uongoUjue kila kitu ni safi kwa walio safi, wenye mioyo mibovu hufikiri mabovu, kidogo nikisemacho kwani usifikiri ni pesa kuliko kingine!
Uongo wa wanasiasa umeharibu nchi hiiKingine nisichokipenda ni uongo
Unasaidia mtu halafu baadae anakugeukaUongo wakati mwingine unasaidia
Anakugeuka yakimshinda anajite upyaUnasaidia mtu halafu baadae anakugeuka
Mkuu natamani nizikunje sasa hivi Ila basi tu, nitatafuta kibarua cha mudaAiseee sisi ambao tumekimbia shule toka form 4, tunawaonea wivu mliosoma elimu ya juu ila njooni tuungane mtaani tusake hela tusake mapema kitaelewaka tu mkuu...
Tabia za faru john zina utata mwingiUpya wa nguo si upya wa tabia