Wa mwisho ndiyo mshindi

Ipi dada tujadili jamani eeeh hadi wewe wangu, mimi ni me jamani seriously na natafuta mpenzi wa kike sasa na unalijua hili sakayo
Sakayo najua jinsia yako sema Mmmh hapana jamani, basi sawa we owa tuu
 
Lakinii unamakusudi sakayo wangu jamani mbona leo hunijibu maswali kuntu, au maswali ni magumu na majibu ni mepesi
Mepesi wapi wewee, unauliza Maswali ya usiku mchana wote huu
 
Hii kauli uliyorudia we unahisi uko tofauti na Gadna jamanii
 
Balaaa jama
 
Sakayo najua jinsia yako sema Mmmh hapana jamani, basi sawa we owa tuu
Oa tuu, dada acha utani nioe upepo au wakati hautaki kunipa yule unayekuaga nae ukienda kusalimia nyumbani sijui Mdogo eti au family friend na wewe
 
Hapo ndo umechemsha, ukweli humuweka mtu huru
Mtu huru ni yule mwenye kufanya chochote anachojisikia haijalishi anavunja sheria au la hasha, kwenye mapenzi hakuna mtu huru ndio maana ukweli upo kwa kiwango kidogo sana compare na uongo trust me guys
 
Oa tuu, dada acha utani nioe upepo au wakati hautaki kunipa yule unayekuaga nae ukienda kusalimia nyumbani sijui Mdogo eti au family friend na wewe
Na wewe unaharibikiwa yaani uoe ndugu zangu
 
Mtu huru ni yule mwenye kufanya chochote anachojisikia haijalishi anavunja sheria au la hasha, kwenye mapenzi hakuna mtu huru ndio maana ukweli upo kwa kiwango kidogo sana compare na uongo trust me guys
Guys yaani huyu gbefa anatupotosha
 
Guys yaani huyu gbefa anatupotosha
Anatupotosha huyu dogo aisee maana huu ujinga sijui kajifunza wapi, dada sakayo seriously trust me this is not an assumptions this is reality na kama unabisha please make research
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…