goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
Mkuu usijali sote ni binadamu sote ni watanzania lazima tuwe na umoja ns ushirikiano,Haraka na Mungu anisaidie, Asantee mkuu
Chalii sio napenda bali mwanachama piaHatareee mzee wa illuminati, hivi hizo mambo zako kwanini unazipenda sana chalii
Atakusaidia na wewe pia kwa kuwa na moyo wa upendo na huruma.Mkuu usijali sote ni binadamu sote ni watanzania lazima tuwe na umoja ns ushirikiano,
Ni vyema kukupa pole na matatizo yaliyokupata hakika utapona mwamini muumba wako atakusaidia.
Usoni umepaka nini shemu wake mamaafacebookKujali kuzuri ni kumvunga mtu viatu huku unamuangali usoni
Awabariki pia wewe na familia yako kwa ujumla na mwaka huu uwe wa mafanikio na mwema kwenu.Atakusaidia na wewe pia kwa kuwa na moyo wa upendo na huruma.
Niwatakie jumapili njema wooote na Mungu awabariki.
Umpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako, tuyaishi maandiko sio kuyakalili tuBure huwezi kumpenda, lazima kuna vichocheo vinakufanya umpende
Ikoje pia kwa wadau wote?sakayo mimi nipo fit sana leo raha zaidi kupata walau kabando kaku ingia humu na kupiga stori na nyie wanduguKweli toka jana hajatia timu humu dem boy, vipi jumapili yako ikoje
Wandugu zangu wazima? Polen na majukum.Ikoje pia kwa wadau wote?sakayo mimi nipo fit sana leo raha zaidi kupata walau kabando kaku ingia humu na kupiga stori na nyie wandugu
Vibaya kvp tena sakayo tujuzane kama yanasemekaHii jumapili yangu imeanza vibaya
Majukumu ya kujenga hili taifa ni yetu sote, Aishah2016 upooooooo,Wandugu zangu wazima? Polen na majukum.
Yanasemeka dem boy ni malaria tu mkuuVibaya kvp tena sakayo tujuzane kama yanasemeka
Upo wewe Aisha2016, bando la chuo halipo mitaa yenuMajukumu ya kujenga hili taifa ni yetu sote, Aishah2016 upooooooo,
Wanduguuu kuingia jf ingekuwa bure yaani sijui ingekuwaje maana tunaingia na mb lakini kuna watu hawakaukiwi mb kama wewe apo mkuuIkoje pia kwa wadau wote?sakayo mimi nipo fit sana leo raha zaidi kupata walau kabando kaku ingia humu na kupiga stori na nyie wandugu
Tuyakalili tu au tuyakakariri ,pamoja na kuyatekeleza maandikoUmpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako, tuyaishi maandiko sio kuyakalili tu
Mwema kwenu pia mkuu, Kumbe kuna muda huwa unawaza vyema, ubarikiweAwabariki pia wewe na familia yako kwa ujumla na mwaka huu uwe wa mafanikio na mwema kwenu.
Ubarikiwe nawe pia kwa kuona watu huwa wanawaza vizuri. Kuna wengine wakimlebo mtu kuwa ni wa hivi, basi atabaki hivyo mileleMwema kwenu pia mkuu, Kumbe kuna muda huwa unawaza vyema, ubarikiwe
Mkuu pole iendee hosp malaria nayo haiko nyuma boy[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yanasemeka dem boy ni malaria tu mkuu
Milele usimchukulie vibaya sababu ya mawazo yake, huwa ni mitazamo tuuUbarikiwe nawe pia kwa kuona watu huwa wanawaza vizuri. Kuna wengine wakimlebo mtu kuwa ni wa hivi, basi atabaki hivyo milele