Sawa wapi mkuu, yani unakuja nakuondoka mkuu, hujuwi kama kuna muda unapaswa kutenga kwajili ya marafiki mkuu?Sana sana usisahau kufikisha salam zangu kwa
Mamaafacebook II
Sakayo
Toxic9
Iceman 3D
Gbefa
Shunie
Aishah2016
Dem boy..waambie nimewamiss sana bests zangu, hata nikiwa sipo online waambie nipo:;nimedownload Jf kuja kuwapa hai..baada ya miezi kadhaa Inshallah nitarudi nikimaliza project!!
usisahau kuwaambia mimi nipo, sawa?
Akionekana nitamuuliza mkuu, maana ben Saanane naye ametuweka wananchi roho juu, Ngalikihinya au unajua alipo,Shehe, haya maswali umuulize na Ben akionekana..
Namge? Sasa gbefa mbona unausemea moyo wa mtu kwani mwenyew ci yupo au ndo unamsupport[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
2016 ishaisha[emoji112] [emoji112] [emoji112] am here for you Aisha 2016
Alipo saanane hawezi mtu kujua pacha labda muwaulize saasaba na saatisa coz hao ndo wanaonekanaga kuwa karibu nae dailyAkionekana nitamuuliza mkuu, maana ben Saanane naye ametuweka wananchi roho juu, Ngalikihinya au unajua alipo,
Saanane Deus ni boss wangu sijui wana undugu na huyo jamaa, ila sijawahi sikia hata akimzungumziaDaily news halina habari ya alipo Ben Saanane
True never hides..Namge? Sasa gbefa mbona unausemea moyo wa mtu kwani mwenyew ci yupo au ndo unamsupport
Akizingumzia mapenzi unaweza kufikiri amezaliwa nayoSaanane Deus ni boss wangu sijui wana undugu na huyo jamaa, ila sijawahi sikia hata akimzungumzia
Nayo mapenzi hana mjuaji kila mmoja anayajua kwa namna ya kipekeeAkizingumzia mapenzi unaweza kufikiri amezaliwa nayo
Kipekee namshkuru Mungu kwa huu mwaka mpyaNayo mapenzi hana mjuaji kila mmoja anayajua kwa namna ya kipekee
Mpya imetokea leo NAMGE kumpenda AishaKipekee namshkuru Mungu kwa huu mwaka mpya
Aisha tayari ndugu tushakuwa mawifi, haya hongeraMpya imetokea leo NAMGE kumpenda Aisha
Mwaka mpya na mambo mapyaKipekee namshkuru Mungu kwa huu mwaka mpya
Aisha tayari ndugu tushakuwa mawifi, haya hongera
Alipo hata wewe unapajua, yupo wapi shemeji yangu mamaafacebook IIAkionekana nitamuuliza mkuu, maana ben Saanane naye ametuweka wananchi roho juu, Ngalikihinya au unajua alipo,
Mvalishwa viatu ndo Sakayo mwenyewe huyoHongera kwa hiyo avator yako, wewe ndio mvalisha au mvalishwa viatu?
Mamaafacebook ameadimika humu ndani kama wewe tu mkuu, heri ya mwaka mpyaAlipo hata wewe unapajua, yupo wapi shemeji yangu mamaafacebook II