Toxic9 hii ni fursa men, i cant wait for that mkuu, ila nisije ambiwa serikali haita gharamia hata cent kwenye safari hiyo ilihali wameniteua niwasindikize, eti tunabana matumizi[emoji16] [emoji16] [emoji16] ahhhh, raisi2020 tunata serikali iachie hata kidogooBBC wamempongeza rais wetu kwa kuchapa kazi kweli kweli na wamesema wanaandaka ticket ya mtannzania mmoja kwenda uingereza nae ni toxic 9
Ma.....i Umegusa pabaya mkuu, Mheshimiwa hatajwi ovyoWapi yupo mjinga kama magufuli??
Stara Thomas yupo wapi huyu gwiji wa kuimba namkubali sanaJela siwezi kwenda kijana kwa lugha hii isiyo na stara
Magufuri ni Rais wa Nchi, hata kama humpendi si busara kumwita mjinga ni afadhali kutokumtaja!Ma.....i Umegusa pabaya mkuu, Mheshimiwa hatajwi ovyo
Zipi wapi ipo huko nanilii maeneo ya wilaya ya handeni853KJ iko pande zipi?
Nzito na ina unyororo kwa mbaliiiii basi akiimba masikio yangu yana simama juu namkubali sana huyu mwanamama stara thomasSana na sauti yake nzito
Koke ni mchezaji wa Atletic Madrid huwa napenda kazi yake. Mi ni meKoke16 ndio nini ndugu yangu?
Kutokumtaja, piga kimya kabisa kuliko kumsema, huyu jamaa amegusa pabaya..Magufuri ni Rais wa Nchi, hata kama humpendi si busara kumwita mjinga ni afadhali kutokumtaja!
Pabaya ndo wapi mkuu, habari za kutwa nzima ya leoKutokumtaja, piga kimya kabisa kuliko kumsema, huyu jamaa amegusa pabaya..
Ume_wrong quote halafu, hebu angalia vizuri uliekuwa una mquote/jibu ni jamaa gani,Magufuri ni Rais wa Nchi, hata kama humpendi si busara kumwita mjinga ni afadhali kutokumtaja!
Leo kutwa yangu imeenda vizuri, hujambo mrembo, shemeji yangu hajambo???Pabaya ndo wapi mkuu, habari za kutwa nzima ya leo
Ni kweli si wewe bali ni mwamajinja mapunga!Ume_wrong quote halafu, hebu angalia vizuri uliekuwa una mquote/jibu ni jamaa gani,
Gospel ndiyo ana fiti zaidi nampenda sana huyu mwimbaji, sauti sampuli ya stara thomas huwa zinafaa sana kuimba GospelStara Thomas mwimbaji bongo fleva alieshift kwenda gospel
Me, basi sawa ni vizuri kutambuana jinsia mkuu, usije ukarukia pabaya.Koke ni mchezaji wa Atletic Madrid huwa napenda kazi yake. Mi ni me
Taifa langu nitalitumikia kwa uadilifu ulio tukuka kama kiapo changuKuimba gospel ni kama kujitolea tu kwenye jeshi LA kujenga taifa
Kidogo kidogo tumeanza roman numbers ni ngumuToxic9 hii ni fursa men, i cant wait for that mkuu, ila nisije ambiwa serikali haita gharamia hata cent kwenye safari hiyo ilihali wameniteua niwasindikize, eti tunabana matumizi[emoji16] [emoji16] [emoji16] ahhhh, raisi2020 tunata serikali iachie hata kidogoo