Wa mwisho ndiyo mshindi

Wote tunashukuru,huku nilipo umeme upo pia. Sweetheart wangu yuko wapi
Wapi sijuwi pakuanzia kuwashukuru wapendwa wote wadau wote wa jukwaa leti hili pendwa kwa juhudi za dhati kwenye ushirikiano wenu katika nyanja mbalimbali kiushauri nk toka 2016 na sasa tupo 2017 tumshukuru mungu kwa kila jambo amen
 
Romantic niachie mie, hiyo ni taalum yangu niliyorithi.....
Niliyorithi kwa mababu zetu ni kuwa na busara, hekima na upendo kwa kila mtu it doesnt matter you are poor, rich, bagger, disabled nk moyo wangu hauchagui wote nawapenda, heri ya mwaka mpya watu wote humu ndani
 
Jikoni ni kwaajili ya chakula
Chakula gani unapenda leo nikupikie ndizi mchemsho samaki kodogo, wali maharage nazi, wali njegere rojo, wali maini, kuku choma na chips[emoji489], pilau kuku, mimi naingia jikoni mwenyewe leo, mwaka tuanze hivi baba in the kitchen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…