Wa mwisho ndiyo mshindi

Kawaida sana kwa nchi yetu kupandisha asilimia za wadaiwa sugu kutoka 8% mpaka 15%
15% deduction hii ni kubwa sana kaa mkao kufirisika hakuna unafuu maisha haya, why now HESLB, mlikuwa wapi muda wote huo
 
Faru john ni wathamani kwa watawala kuliko wananchi
Wananchi ni wa kupigwa mikuki midomoni na hakuna hatua yoyote ikioneka imechukuliwa, ila faru John amepata umaarufu magazetini on front pages baada ya kupotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…