mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Tuuuuuuuh hebu lalaUsiku mwema na kwako pia mkuu
Wacha mimi nirushe voko nahisi soon ataelewa somo langu tu
Tuuuuuuuh hebu lalaUsiku mwema na kwako pia mkuu
Wacha mimi nirushe voko nahisi soon ataelewa somo langu tu
Sasa achana na mieTena naanza sasa![]()
![]()
![]()
Tena ya kirafiki inakufaaa zaidiYangu naijua mwenyewe tu
Umeniweka kwenye list yako ipi tena?
Mwema n mpenda watuNyingine yenye makosa, T 1990 ELY nilitegemea ungeanza na "money" lakini naona umemfuata zaidi mamaafacebook II, usiku mwema.
Lala Salama, ukilala lala salamaTuuuuuuuh hebu lala
Mie tena naanzaje kuachana na wewe kwa mfano?Sasa achana na mie
Salama tuamkeLala Salama, ukilala lala salama
Mfano nikalala utaendelea na naniMie tena naanzaje kuachana na wewe kwa mfano?
Nani ataziba nafasi ya mamaafacebook akiniacha usiku huu?Mfano nikalala utaendelea na nani
Huu mtanange unatakiwa ufike mwisho name mie naona dabodaboNani ataziba nafasi ya mamaafacebook akiniacha usiku huu?
Tuamke twende kazini kumekuchaSalama tuamke
Dabodabo tamu sana ukiwa umelewaHuu mtanange unatakiwa ufike mwisho name mie naona dabodabo
Usiku mwema mamaafacebookMwema n mpenda watu
Kumekucha saaa hiziTuamke twende kazini kumekucha
Umelewa wewe me situmii any kind of alcoholDabodabo tamu sana ukiwa umelewa
Mamaafacebook nipo hapaUsiku mwema mamaafacebook
Hapa yupo shemejifacebookMamaafacebook nipo hapa
Shemejifacebook siku hizi hana jipya, mambo yote shemejiwhatsapp...Hapa yupo shemejifacebook
Shemejifacebook hahahahahaha umetishajeeHapa yupo shemejifacebook
Shemejiwhatsapp ndio habari ya townShemejifacebook siku hizi hana jipya, mambo yote shemejiwhatsapp...