Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Ni - hiki ni kiunganishi katika sentensi na kuleta maana iliyokusudiwa,
Mfano: wa kiunganishi "ni " katika sentensi,
1. Mhemishiwa dkt: john pombe joseph magufuli ni rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania.
Tanzania ni nchi yenye amani
 
Ni - hiki ni kiunganishi katika sentensi na kuleta maana iliyokusudiwa,
Mfano: wa kiunganishi "ni " katika sentensi,
1. Mhemishiwa dkt: john pombe joseph magufuli ni rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania.
Tanzania ni nchi ya asali na maziwa lakini kuna majambazi wamepoteza Ben Saa nane na faru John Pembe Maarufu
 
Tanzania ni nchi ya asali na maziwa lakini kuna majambazi wamepoteza Ben Saa nane na faru John Pembe Maarufu
Maarufu ni kitendo cha mtu au watu au inawezekana ikawa kiumbe hai na kisicho hai kuweza kufahamika zaidi kutokana na sifa zake au jambo fulani na kupelekea kujulikana hata kupendwa au kutopendwa.
 
Kutopendwa ni kitu cha kawaida ktk maisha
Maisha ni mfumo wa kiumbe hai kuweza kustahimili na kuishi katika sayari ya tatu ijulikanayo kama dunia, katika maisha kuna matabaka mbali mbali hususani jamii ya mwanadamu.
 
Mabovu ndeswimbira alikuwa mchezaji mahiri katika timu ya yanga mnamo mwaka 1978, alicheza nafasi ya kiungo mkabaji......
 
Back
Top Bottom