Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Tena nakumbuka mwanzisha uzi kachukia kisa mm ndio mshindi wa mwisho hapa
Hapa hapa uniambie hivi benn sanane bado hakuna dalili za kumpata cadre wetu, naomba vyombo husika, mamlaka husika ziingilie kati hili saga cadre wetu tumpate
 
John ni kwa Kiingereza kwa Kiswahili tunaita Joni
 
Nikazichukue pia na Mimi zile pombe nilizobakiza wakati nalumangia na senene wa kihaya
 
Kihaya ni kilugha cha watu wakaao mkoa wa Kagera
 
Back
Top Bottom