goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,151
Hivi nyie watu wa magufuli hamkusoma nyakati na matumizi ya alama katika somo la lugha ya kiswahili.
ivii ndiyo lugha gani?..MwendoKasi ndo mwendo gani ivii??
Kiswahili wewe unakijuwa?Hivi nyie watu wa magufuli hamkusoma nyakati na matumizi ya alama katika somo la lugha ya kiswahili.
Mwendokasi sasa wananchi wa gongolamboto, mombasa, pugu nk watanufaika na uwekezaji huu wenye tijaShida sana kuishi na watu wenye matamko ya mwendokasi
Unakijuwa hili neno halipo sahihi hata wewe pia umekosea unatakiwa useme ( unakijua )Kiswahili wewe unakijuwa?
Mkabaji scorpion mashtaka yake vipi? Je huyu jamaa atachomoka kweli?Mabovu ndeswimbira alikuwa mchezaji mahiri katika timu ya yanga mnamo mwaka 1978, alicheza nafasi ya kiungo mkabaji......
Kweli ng'e mtu alishtua mioyo ya wananchi hususani wana dar es salaam.Mkabaji scorpion mashtaka yake vipi? Je huyu jamaa atachomoka kweli?
Dar es Salaam hapafai kuishiKweli ng'e mtu alishtua mioyo ya wananchi hususani wana dar es salaam.
Moshi nako Kuna joto cku iziKuishi kunafaa kule moshi.
Izi ni nyakati za mwishoMoshi nako Kuna joto cku izi
Hizi harakati za awamu ya tano inachangia joto kubwa Tanzania, tuombeane kwa mwenyezi mungu.Moshi nako Kuna joto cku izi
Viwanda vitawezekanaje wakati umeme hakuna?Tanzania ya viwanda