Kazi kweli kweli siku hizi mpaka uokote pesa njiani, sijui kama siku hizi bado zipo hizo bahatiBahasha ya hela kuangusha kazi
Ushaujua ule wimbo wa akwelina"Inatosha basi kwa maumivu uliyonipa" kitikio cha wimbo fulani ushaujua!?
Akwelina eeh!tuliimalize tatizo oyooyoo Akwelina mpenzi nakupenda ×2 umenikumbusha mbali sanaUshaujua ule wimbo wa akwelina
Nyote ambao ni members wa huu uziMbali sana tumetoka wakuu ni jambo la kumshukuru muumba kwa sababu hadi Leo tunapumua na natumai tutavuka mwaka salama, merry Xmas and happy new year guys nawapenda nyote
Jamani kwenye mualiko niwekwe sekta ya vinywajiHuu Uzi upewe tuzo tu jamani
JF inakimbiza hatariUzi katika JF
Hatari sana mtu kujichagulia sektaJF inakimbiza hatari
Sekta yako tukuweke muweka hazina au MCHatari sana mtu kujichagulia sekta
Mc itanifaaSekta yako tukuweke muweka hazina au MC