zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,604
bia utamu wake ni kama kumkiss msichanaKweli vile karibu chrismass kwetu baada ya kutoka kanisani, kesho ni siku ya kunywa sana kitimoto na bia
bia utamu wake ni kama kumkiss msichanaKweli vile karibu chrismass kwetu baada ya kutoka kanisani, kesho ni siku ya kunywa sana kitimoto na bia
Bia kunywa tu ila angalia usileweKweli vile karibu chrismass kwetu baada ya kutoka kanisani, kesho ni siku ya kunywa sana kitimoto na bia
Msichana nimeshapata, wa kulala nae usiku mzima siku ya skukuubia utamu wake ni kama kumkiss msichana
Usilewe vipi wakati ni kupombeka kwa sana tu hiyo keshoBia kunywa tu ila angalia usilewe
Adimu sana, umepotelea wapiPia nami nimekuwa adimu
Wapi panakuhusu nini. ? Kwani huyo ni babu yako. ?Adimu sana, umepotelea wapi
Yako mambo wayaficha, yawengine wayatangazaWapi panakuhusu nini. ? Kwani huyo ni babu yako. ?
Yako yamekushinda mkuu umehamia kwangu, mwenyekiti wa wachawi naona unanitafuta bila kunipataWapi panakuhusu nini. ? Kwani huyo ni babu yako. ?
Kunipata ni mwiko jaribu wengineYako yamekushinda mkuu umehamia kwangu, mwenyekiti wa wachawi naona unanitafuta bila kunipata
Kunipata huniwezi alisikika akisema konda yule huku akimeza Funda la mate na kuendelea na hadithiYako yamekushinda mkuu umehamia kwangu, mwenyekiti wa wachawi naona unanitafuta bila kunipata
Hadithi za konda ni za mwehu kama ulivyo wewe mkuda p.JokerKunipata huniwezi alisikika akisema konda yule huku akimeza Funda la mate na kuendelea na hadithi
John ooh jonny am looking for my joni, yemi alade ameimba hii nyimboHadithi ya kuku mwenye kichwa kikubwa ilikuwa tamu kama kisa cha Faru John
Faru John ni wathamani kuliko watanzania woteHadithi ya kuku mwenye kichwa kikubwa ilikuwa tamu kama kisa cha Faru John
Utamu kolea, hapo zamani za kale palikuwa na baba na mama pamoja na mtoto wao mmoja, kijijini waliishi kwa rahaHadithi hadithi. Hadithi njoo utamu kolea
Nyimbo nyingi za kibongo hazina ujumbeJohn ooh jonny am looking for my joni, yemi alade ameimba hii nyimbo
Wote walishangilia na wengine waliingia uwanjaniFaru John ni wathamani kuliko watanzania wote
Ujumbe wa chrismass nimemtumia tayari na bahashaNyimbo nyingi za kibongo hazina ujumbe