Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Mwaka ujao inshaalah mwenyez mungu awawekee woteeMafanikio yangu mwaka huu hayajafikia lengo, ngoja nifunge mkanda nikaze na kamba mwaka ujao
Mwaka ujao inshaalah mwenyez mungu awawekee woteeMafanikio yangu mwaka huu hayajafikia lengo, ngoja nifunge mkanda nikaze na kamba mwaka ujao
Wote pamoja na mm nlijisahauMwaka ujao inshaalah mwenyez mungu awawekee wotee
Wote tunaitikia duaMwaka ujao inshaalah mwenyez mungu awawekee wotee
Malengo yako yasiyumbishwe na changamoto zinazojitokeza katikati ya safariUjao anza vizuri mkuu utatimiza malengo yako
Mwewe ameiba kifaranga cha kukuDua la kuku alimpati mwewe
Kuku tutakula keshoMwewe ameiba kifaranga cha kuku
Safari inahitaji moyo ili umalize salamaMalengo yako yasiyumbishwe na changamoto zinazojitokeza katikati ya safari
Kesho nitawahi kwenda kanisani mapemaKuku tutakula kesho
Na mapema nikitoka nitarudi kuandaa pilau la nyama nyingi.. Kachumbari na pilipili kwa mbali..Kesho nitawahi kwenda kanisani mapema
Mapema misa ya ngapi?Kesho nitawahi kwenda kanisani mapema
Mapema mbona unialiki mkuuKesho nitawahi kwenda kanisani mapema
Mkuu Aisha, mialiko mingine itakukosti ushindwe na kusimuliaMapema mbona unialiki mkuu
Kusimulia si kula tu na kusherehekea kwa pamoja na kushukuru munguMkuu Aisha, mialiko mingine itakukosti ushindwe na kusimulia
Kushukuru Mungu na kusimulia inategemea umekutana na nini Aisha. Kuna vingine nikwambie utaishia kukaa kimya na kumshukuru huyu ndugu wa wasambaa shetaniKusimulia si kula tu na kusherehekea kwa pamoja na kushukuru mungu
Wasambaa shetan?Kushukuru Mungu na kusimulia inategemea umekutana na nini Aisha. Kuna vingine nikwambie utaishia kukaa kimya na kumshukuru huyu ndugu wa wasambaa shetani
Shetani ndugu yao kwasababu majina yao wote yanaanzia na she she she...Shekwavi, Shemahonga na mengineyo..Wasambaa shetan?
Mengineyo Hahaha dah ila kweliShetani ndugu yao kwasababu majina yao wote yanaanzia na she she she...Shekwavi, Shemahonga na mengineyo..
Kweli vile karibu chrismass kwetu baada ya kutoka kanisani, kesho ni siku ya kunywa sana kitimoto na biaMengineyo Hahaha dah ila kweli