supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Kufo mimi sina hapaTayari hata mm nnayo moja
Kufo mimi sina hapaTayari hata mm nnayo moja
Mchana watu wanakuwa busy kufanya window shoppingBarabarani taa hazitumiki kwa sababu ya foleni mchana
Hapa kazi kauli mbiu ya raisi ya awamu ya tanoKufo mimi sina hapa
Shopping ni muhimu c unajua sikukuu hiyo kesho kutwaMchana watu wanakuwa busy kufanya window shopping
Keshokutwa mazee ni birthday yangu piaShopping ni muhimu c unajua sikukuu hiyo kesho kutwa
Zetu dua tu tuwe wazima mpk iyo siku
Mungu mkuu aliyeumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo kwa siku sita akapumzika siku ya saba ambayo ni sabato takatifuSiku za mwisho zinakaribia Na ishara zote tumeshaziona, jamii imrudie Mungu
Sabato takatifu imeelezewa vizuri sana katika bibiliaMungu mkuu aliyeumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo kwa siku sita akapumzika siku ya saba ambayo ni sabato takatifu
Biblia ni kitabu kitakatifu kina mambo mwngi mazuri tunatakiwa kusoma mara kwa mara tuwapo na nafasiSabato takatifu imeelezewa vizuri sana katika bibilia
Nafasi za geust house zitajaa sana siku ya x-mass, kwanini watu wanatafutana siku wamefurahi tu ndiyo wa kwichikwichiBiblia ni kitabu kitakatifu kina mambo mwngi mazuri tunatakiwa kusoma mara kwa mara tuwapo na nafasi
Biblia ni kitabu takatifuSabato takatifu imeelezewa vizuri sana katika bibilia
Kwichikwichi ikizidi kinavunjika kitandaNafasi za geust house zitajaa sana siku ya x-mass, kwanini watu wanatafutana siku wamefurahi tu ndiyo wa kwichikwichi
Nafasi ipo mbona sana, sema tu tumeshapotea wanakondooBiblia ni kitabu kitakatifu kina mambo mwngi mazuri tunatakiwa kusoma mara kwa mara tuwapo na nafasi
Kitanda changu ni kibovu hakifai kwa show za kibabeKwichikwichi ikizidi kinavunjika kitanda
Show za kibabe nilijua siku hiz hazipo si unajua kila mtu analia njaaKitanda changu ni kibovu hakifai kwa show za kibabe
Njaa njaa kama hujagonga msosi show za kibabe hutaweza mkuu minji,Show za kibabe nilijua siku hiz hazipo si unajua kila mtu analia njaa
Somalia kuna alshabab hatarinjaa somalia
Hatari inakuja pale al shabab wanapovurugwaSomalia kuna alshabab hatari