Zote kali zilizopo kwenye chart ya mzikiDu hii haiwezekani nakupinga % zote
Mziki ya darasa imehitZote kali zilizopo kwenye chart ya mziki
Haijaungua sufuria imepata masinzi tu sababu ya moshiImehit lakini haijaungua
Moshi safari hii watakaokwenda kuhesabiwa kusafirishwa kupitia daladala zile dsmHaijaungua sufuria imepata masinzi tu sababu ya moshi
Joto limezidi mwezi huuDSM kiboko kwa joto
Huu mwaka Na uishe tuJoto limezidi mwezi huu
Mkuu naona umenkabidhi ushindiUshindi chukua wewe mkuu
Huu mwaka unaisha hivi hiviJoto limezidi mwezi huu
Hivi hivi mnaniacha kwenye mataaHuu mwaka unaisha hivi hivi
Tu unaweza kumalizika kwa amani bila ajali za barabaraniHuu mwaka Na uishe tu
Ushindi bado sana hadi nilete orodha ya washirikiMkuu naona umenkabidhi ushindi
Black woman,gbefa njooni mshuhudie ushindi
Barabarani taa hazitumiki kwa sababu ya foleni mchanaTu unaweza kumalizika kwa amani bila ajali za barabarani
Washiri wa 30 wa mwanzo watajipatia zawadi mlangoniUshindi bado sana hadi nilete orodha ya washiriki
Washiriki wapo wengiUshindi bado sana hadi nilete orodha ya washiriki
Mlangon utapewa tiket ya VIPWashiri wa 30 wa mwanzo watajipatia zawadi mlangoni
VIP siti zimejaa, zote zimelipiwa tayariMlangon utapewa tiket ya VIP
Tayari hata mm nnayo mojaVIP siti zimejaa, zote zimelipiwa tayari