supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Mishkaki ya jana ilikuwa mitamu sana mkuu toxicMungu anakuona halafu WE supermarket uliyotufanyia jana kutuacha ukatimuka na Ukhuty, ila tuliendeleza kula good time, mamaafacebook hakuwa vizuri jana, ila black womani na atug tuliendelea kupata mishikaki
Mpendwa amekasirika baada ya kukuona jana umesimama na mchepukoTena baby nimekumis umeamkaje kwanza mtumishi wa Mungu, huko kwenu wazima mpendwa
Kwako nzuri kwa mwengine anaona mbaya, na mwengine anaona ya kawaidamaana ipi kwako nzuri
Maana hapo nimefuatwa kanuni na taratibu za dini yangu ya Kiislamu dear naruhusiwa kuoa zadi ya mke mmoja jamani ilihali nawatimizia haja za mioyo yenu jamaniMpendwa humu tena una baby... Kweli hii huo and me till death inaanza kutokuleta maana
Mchepuko sina nina wake wawili black woman na atug dini inaruhus sheheMpendwa amekasirika baada ya kukuona jana umesimama na mchepuko
Shehe hajui na mke mkubwa sijatoa go aheadMchepuko sina nina wake wawili black woman na atug dini inaruhus shehe
Duniani kuna mapambano atakayeshinda atapata raha ya mileleAmini Amini nawambia wale wasio na dini Mungu anawaona anawaacha mjirekebishe kabla hamjaenda motoni siku ya kuondoka duniani[emoji91] [emoji91]
Mishkaki ya figo mitamu sanaMungu anakuona halafu WE supermarket uliyotufanyia jana kutuacha ukatimuka na Ukhuty, ila tuliendeleza kula good time, mamaafacebook hakuwa vizuri jana, ila black womani na atug tuliendelea kupata mishikaki
Mpendwa nimeamka salama sana sifa ziende kwake aliye juu ya yoteTena baby nimekumis umeamkaje kwanza mtumishi wa Mungu, huko kwenu wazima mpendwa
Maana hali ya till death ilikuwa zamaniMpendwa humu tena una baby... Kweli hii huo and me till death inaanza kutokuleta maana
Mchepuko sio dili baki njia kuuMpendwa amekasirika baada ya kukuona jana umesimama na mchepuko
Jamani mambo ya wawili wengi yanawashindaMaana hapo nimefuatwa kanuni na taratibu za dini yangu ya Kiislamu dear naruhusiwa kuoa zadi ya mke mmoja jamani ilihali nawatimizia haja za mioyo yenu jamani
Yanawsshinda kwa sababu kila siku kufatilia ya watu.Jamani mambo ya wawili wengi yanawashinda
yanawashinda wakina nuhu kwa shiloleJamani mambo ya wawili wengi yanawashinda
Yanawashinda mie nikiwa mmoja wapo... Mambo ya uke wenza siyaweziJamani mambo ya wawili wengi yanawashinda
Basi ya nini wakati inatakiwa kuendelea hadi mwisho..sana sana mnaendeleza hii thread tu acheni basi!
Watu wengi wanakimbilia mjijini hawataki kubaki vijijiniYanawsshinda kwa sababu kila siku kufatilia ya watu.
Shilole ndio naniyanawashinda wakina nuhu kwa shilole