Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
..sio magaidi wote wanavaa uninja ILA wengi wao wanavaa
Gesi yenye demand kubwa ile ya tumboni baada ya kula maharage...😛Tanzania sasa imekuwa kama mgonjwa anayepumulia gesi..
Maharage ni mboga ya taifaGesi yenye demand kubwa ile ya tumboni baada ya kula maharage...😛
Tanzania yangu nzuri hakuna matata.....Taifa langu tanzania
matata sana kukosa dealTanzania yangu nzuri hakuna matata.....
Deal ya Richmond imepitaje au ndiyo imezikwa ......??matata sana kukosa deal
Imezikwa hiyo Sasa anatafutwa faru John Na kaburi halipoDeal ya Richmond imepitaje au ndiyo imezikwa ......??
Kwetu huku kuna vibaka utapawezaHalipo kwa hapa kwetu
kwetu tukipika wali tunabandika tangazo TUMEHAMAHalipo kwa hapa kwetu
Kwetu huku kuna vibaka utapaweza
kwetu tukipika wali tunabandika tangazo TUMEHAMA
zamani tulipendana sana .na hadi leo bdo uko moyoni kwanguTumehama eneo tulilokuwa tukiishi zamani
zamani tulipendana sana .na hadi leo bdo uko moyoni kwangu
mwaka mpya tufungue ukurasa mwingine upya.nipe nafasimoyoni kwangu nimefuta yale mabaya yote yaliyotokea mwaka 2016 kujianda kwa mwaka mpya
mwaka mpya tufungue ukurasa mwingine upya.nipe nafasi
mwakani sio mbali ila namba tumeisoma wenginafasi za utumishi serikalini hazijatoka labda kusubiri hadi mwakani
Ukidhamiria utapaweza tu hakuna namna Blaki woman wa nguvuutapaweza kama ukidhamiria