Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
sheria zote za dini yake na kumuheshimu mumewe
mumewe anatakiwa kumjali mkewe na kumheshimu
sheria zote za dini yake na kumuheshimu mumewe
Wengine wanasema ndoa tamu na wengine wanasema ndoa chunguBora umetambua hilo mapema kabla ya kuingia ndoani, upendo, uvumilivu, kusameheana na kuwajali wengine
Changu ya ndoa oa mke mzuri alafu usiwe na hela lazima ugongewe tu.Wengine wanasema ndoa tamu na wengine wanasema ndoa chungu
Changu ya ndoa oa mke mzuri alafu usiwe na hela lazima ugongewe tu.
Christmasbusiness imekuwa ngumu sana kipindi hiki sio kama zamani wakati wa maandalizi ya Christmas
ya mwaka huu umegundua kuwa tulizoea kipindi kama hichi huko nyuma bei ya vitu kama sado la viazi ni elfu sita, nyanya elfu tano etc lakini x-mass hii kiazi sado elfu 4 wamekulalia sana elfu 5,halikadhalika nyanya sado ni elfu tatu yani hakuna mfumuko wa bei za bidhaa, hii ni kusema kwanini mwaka huu ni tofauti kuliko miaka ya nyuma jiulize maswali.Wengine wanasema ndoa tamu na wengine wanasema ndoa chungu
Kumheshimu pale anapo heshimiwa piamumewe anatakiwa kumjali mkewe na kumheshimu
Majukumu ya kuwa na Mademu wengi yamenishida kwa kweli.ugongewe tu kama wanasema mwanaume kichwa cha nyumba halafu hutaki kutimiza majukumu
Christmasya mwaka huu umegundua kuwa tulizoea kipindi kama hichi huko nyuma bei ya vitu kama sado la viazi ni elfu sita, nyanya elfu tano etc lakini x-mass hii kiazi sado elfu 4 wamekulalia sana elfu 5,halikadhalika nyanya sado ni elfu tatu yani hakuna mfumuko wa bei za bidhaa, hii ni kusema kwanini mwaka huu ni tofauti kuliko miaka ya nyuma jiulize maswali.
Majukumu ya kuwa na Mademu wengi yamenishida kwa kweli.
Majukumu ni mengi, ila la kitandani mke ukimpa kitu ipasavyo mpaka jasho bado atatafuta mwiko mwingine kuonja taste but whyugongewe tu kama wanasema mwanaume kichwa cha nyumba halafu hutaki kutimiza majukumu
Bora niache tu maana hamna namna sasa Blaki Womani.kwa kweli kama uyasemayo yana ukweli basi utakuwa mume bora
Akuelewe kama wewe you are fit for purpose hiyo inaitwa quality husbandndoa chungu ni vile utakavyoendesha kuanzia mwanzo onyesha makucha yako toka mwanzo ili mwenzako akuelewe
Majukumu ni mengi, ila la kitandani mke ukimpa kitu ipasavyo mpaka jasho bado atatafuta mwiko mwingine kuonja taste but why
Bora niache tu maana hamna namna sasa Blaki Womani.
Vipi kwema lakini mpendwa
Akuelewe kama wewe you are fit for purpose hiyo inaitwa quality husband
Tamaa mbele mauti nyumampendwa mie nipo poa sana tunasukuma gurudumu la maisha, maisha ni kupambana hata ukiwa kwenye wakati mgumu kiasi gani hakuna kukata taama
Mengi inawezekana nisiyajuwe naamini utanifundisha je unaweza nifundisha? Na Je wewe unaishi kwenye ndoa? Je yako ni tamu au chungu?Why you? katika ndoa swala kitandani ni mojawapo kati ya mengine mengi
Tamaa mbele mauti nyuma
Akhsante sana kwa maneno yako mazuri mpendwa Blaki Womani.
Mengi inawezekana nisiyajuwe naamini utanifundisha je unaweza nifundisha? Na Je wewe unaishi kwenye ndoa? Je yako ni tamu au chungu?