atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Mshamba wa wapi?East or West home is Best, labda mie mshamba..?
Mshamba wa wapi?East or West home is Best, labda mie mshamba..?
Salama kabisa tunamshukuru MunguWapi jamani mmeamka salama
Mungu wa Amani na Salama.... ivo ndg ukhuty umegeuza dp yako khaaah !!!Salama kabisa tunamshukuru Mungu
Mshamba ni mtu wa mithili ganiEast or West home is Best, labda mie mshamba..?
Wapi naweza kupata dogo dogo nimleeMshamba wa wapi?
Salama sisi sote, hofu kwako na shemeji yetuWapi jamani mmeamka salama
Mungu ndiyo mwezesha wa kila jambo pale pia unapotia juhudi..Salama kabisa tunamshukuru Mungu
Juhudi zake mwenyewe ndo mtaji wa mtuMungu ndiyo mwezesha wa kila jambo pale pia unapotia juhudi..
Mabingwa wetu safari hii wametuangushamakofi
tulisherehekea ushindi wa mabingwa wetu....![]()
Samahani na uniwie radhi Bidada mbona hujalipa kodi......!!Wametuangusha sama
Kodi kulipa nacho ni kipajiSamahani na uniwie radhi Bidada mbona hujalipa kodi......!!
Kipaji changu nilichobarikiwa ni mpiganaji !!!Kodi kulipa nacho ni kipaji
Mpiganaji kama wewe ndiyo taifa la sasa linahitajiKipaji changu nilichobarikiwa ni mpiganaji !!!
Linahitaji hard core toxic kuondoa virus ya ufisadi na ubadhirifu.....Mpiganaji kama wewe ndiyo taifa la sasa linahitaji
Ufisadi na ubadhirifu ni shida sana Tanzania hasa pale tunapoaminishwa kwamba tabia hiyo anayo mtu mmoja tu hapa TanzaniaLinahitaji hard core toxic kuondoa virus ya ufisadi na ubadhirifu.....